Surat Al-Layl, aya 14

92:14

فَأَنذَرۡتُكُمۡ نَارٗا تَلَظَّىٰ ١٤

Fa andhartukum nāran talazzā

Basi nakuonyeni na Moto unao waka! 14

Maelezo ya chini

14 Ndio maana tukakutieni khofu ya Moto unao waka na kuripuka!