Surat Al-Layl, aya 11

92:11

وَمَا يُغۡنِي عَنۡهُ مَالُهُۥٓ إِذَا تَرَدَّىٰٓ ١١

Wamā yughnī 'anhu māluhū idhā taraddā

Na mali yake yatamfaa nini atapo kuwa anadidimia? 11

Maelezo ya chini

11 Na kitu gani katika adhabu ambacho hayo mali yake yataweza kumkinga nacho, atapo teketea yeye mwenyewe mzima?