إِنَّ عَلَيۡنَا لَلۡهُدَىٰ ١٢
Inna 'alaynā lalhudā
Hakika ni juu yetu kuonyesha uwongofu. 12
Maelezo ya chini
12 Hakika ni juu yetu, Sisi, kwa kufuatana na hikima yetu, ndio tuwabainishie viumbe njia ya uwongofu.