Surat Al-Layl, aya 16

92:16

ٱلَّذِي كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ ١٦

Alladhī kaddhaba watawallā

Anaye kadhibisha na kupa mgongo. 16

Maelezo ya chini

16 Aliye ikadhibisha Haki na akazipuuza Ishara za Mola wake Mlezi.