Surat Al-Layl, aya 7

92:7

فَسَنُيَسِّرُهُۥ لِلۡيُسۡرَىٰ ٧

Fasanuyassiruhū lil-yusrā

Tutamsahilishia yawe mepesi. 7

Maelezo ya chini

7 Basi Sisi tutamtengenezea awe katika khulka ya wepesi na raha kwa kumwongoza kwenye njia ya kheri.