Surat Al-Layl, aya 20

92:20

إِلَّا ٱبۡتِغَآءَ وَجۡهِ رَبِّهِ ٱلۡأَعۡلَىٰ ٢٠

Illabtighā'a wajhi rabbihil-a'lā

Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye juu kabisa. 20

Maelezo ya chini

20 Bali anatoa hicho kwa kutafuta radhi ya Mola wake Mlezi Mtukufu tu.