Surat Al-Layl, aya 18

92:18

ٱلَّذِي يُؤۡتِي مَالَهُۥ يَتَزَكَّىٰ ١٨

Alladhī yu'tī mālahū yatazakkā

Ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa. 18

Maelezo ya chini

18 Amabye hutoa mali yake wakati wa nafasi ili kujisafisha na uchafu wa ubakhili, na najsi ya uchoyo.