Surat Al-Layl, aya 19

92:19

وَمَا لِأَحَدٍ عِندَهُۥ مِن نِّعۡمَةٖ تُجۡزَىٰٓ ١٩

Wamā li ahadin 'indahū min ni'matin tujzā

Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa. 19

Maelezo ya chini

19 Na mtoaji huyu si kama anaye mtu yeyote ambaye ndio anamlipa kwa neema aliyo mfanyia zamani,