Surat Al-Layl, aya 21

92:21

وَلَسَوۡفَ يَرۡضَىٰ ٢١

Walasawfa yardā

Naye atakuja ridhika! 21

Maelezo ya chini

21 Na bila ya shaka atakuja pata kutoka kwa Mola wake Mlezi anacho kitaka kwa njia za ukamilifu kabisa, hata itimie radhi kwake.