Surat Al-Layl, aya 3

92:3

وَمَا خَلَقَ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ ٣

Wamā khalaqadh-dhakara wal-unthā

Na kwa Aliye umba dume na jike! 3

Maelezo ya chini

3 Na naapa kwa Mjuzi aliye umba viwili viwili, dume na jike, katika kila vinavyo zaliwa!