Surat Al-Layl, aya 8

92:8

وَأَمَّا مَنۢ بَخِلَ وَٱسۡتَغۡنَىٰ ٨

Wa ammā mam bakhila wastaghnā

Na ama mwenye kufanya ubakhili, na asiwe na haja ya wenzake! 8

Maelezo ya chini

8 Ama mwenye kufanya ubakhili kwa mali yake asitoe haki ya Mwenyezi Mungu iliomo humo, na akawa hana haja na yatokayo kwa Mwenyezi Mungu,