وَإِنَّ لَنَا لَلۡأٓخِرَةَ وَٱلۡأُولَىٰ ١٣
Wa inna lanā lal'ākhirata wal-ūlā
Na hakika ni yetu Sisi Akhera na dunia. 13
Maelezo ya chini
13 Na juu yetu Sisi peke yetu, bila ya shaka, hili jambo la kuendesha yaliomo duniani na Akhera.