إِنَّ سَعۡيَكُمۡ لَشَتَّىٰ ٤
Inna sa'yakum lashattā
Hakika juhudi zenu bila ya shaka ni mbali mbali. 4
Maelezo ya chini
4 Hakika juhudi zenu bila ya shaka zimekhitalifiana; kwani wapo wenye kubahatika katika juhudi zao, na wako wasio bahatika.