Surat Al-Layl, aya 17

92:17

وَسَيُجَنَّبُهَا ٱلۡأَتۡقَى ١٧

Wasayujannabuhal-atqā

Na mchamngu ataepushwa nao, 17

Maelezo ya chini

17 Na atakuwa mbali na huo Moto aliye mwingi wa kujikinga na ukafiri na maasi,