وَإِلَى ٱلسَّمَآءِ كَيۡفَ رُفِعَتۡ ١٨
Wa ilas-samā'i kayfa rufi'at
Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa? 18
Maelezo ya chini
18 Na waizingatie mbingu wanayo iona daima, vipi ilivyo nyanyuliwa huko mbali bila ya nguzo!
وَإِلَى ٱلسَّمَآءِ كَيۡفَ رُفِعَتۡ ١٨
Wa ilas-samā'i kayfa rufi'at
Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa? 18
18 Na waizingatie mbingu wanayo iona daima, vipi ilivyo nyanyuliwa huko mbali bila ya nguzo!