Surat Al-Ghashiyah, aya 25

88:25

إِنَّ إِلَيۡنَآ إِيَابَهُمۡ ٢٥

Inna ilaynā iyābahum

Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao. 25

Maelezo ya chini

25 Hakika ni kwetu Sisi marejeo yao kwa kifo na kufufuliwa, wala hapana penginepo isipo kuwa kwetu.