Surat Al-Ghashiyah, aya 5

88:5

تُسۡقَىٰ مِنۡ عَيۡنٍ ءَانِيَةٖ ٥

Tusqā min 'aynin āniyah

Zikinyweshwa kutoka chemchem inayo chemka. 5

Maelezo ya chini

5 Wananywesha maji yanayo toka kwenye chemchem inayo tokota.