Surat Al-Ghashiyah, aya 10

88:10

فِي جَنَّةٍ عَالِيَةٖ ١٠

Fī jannatin 'āliyah

Katika Bustani ya juu. 10

Maelezo ya chini

10 Katika Pepo iliyo juu kwa pahala na cheo.