لَّيۡسَ لَهُمۡ طَعَامٌ إِلَّا مِن ضَرِيعٖ ٦
Llaysa lahum ta'āmun illā min darī'
Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba. 6
Maelezo ya chini
6 Hawana chakula ila chakula kiovu kabisa, anaadhibika mwenye kukila.