لِّسَعۡيِهَا رَاضِيَةٞ ٩
Llisa'yihā rādiyah
Zitakuwa radhi kwa juhudi yao! 9
Maelezo ya chini
9 Hao watakuwa wameridhia kwa watayo yapata katika Pepo iliyo juu kwa pahala na cheo.
لِّسَعۡيِهَا رَاضِيَةٞ ٩
Llisa'yihā rādiyah
Zitakuwa radhi kwa juhudi yao! 9
9 Hao watakuwa wameridhia kwa watayo yapata katika Pepo iliyo juu kwa pahala na cheo.