Surat Al-Ghashiyah, aya 1

88:1

هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلۡغَٰشِيَةِ ١

Hal atāka hadīthul-ghāshiyah

Je! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza? 1

Maelezo ya chini

1 Je! Ewe Muhammad! Imepata kukujia hadithi ya Kiyama ambacho kwa vitisho vyake kitawafanya watu wazimie?