Surat Al-Ghashiyah, aya 8

88:8

وُجُوهٞ يَوۡمَئِذٖ نَّاعِمَةٞ ٨

Wujūhun yawma'idhin nā'imah

Siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu. 8

Maelezo ya chini

8 Na pia zitakuwapo nyuso zenye kutoa nuru Siku ya Kiyama, kwa malipo ya vitendo vyao walivyo fanya duniani.