وَإِلَى ٱلۡجِبَالِ كَيۡفَ نُصِبَتۡ ١٩
Wa ilal-jibāli kayfa nusibat
Na milima jinsi ilivyo thibitishwa? 19
Maelezo ya chini
19 Na milima wanayo ikwea mpaka wakafika vileleni kwake, vipi ilivyo simamishwa kwa urefu, imeshikamana na ardhi, haiyumbi wala haitikisiki!