Surat Al-Ghashiyah, aya 26

88:26

ثُمَّ إِنَّ عَلَيۡنَا حِسَابَهُم ٢٦

Thumma inna 'alaynā hisābahum

Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao! 26

Maelezo ya chini

26 Tena ni juu yetu Sisi tu peke yetu kuwahisabia na kuwalipa.