Surat Al-Ghashiyah, aya 24

88:24

فَيُعَذِّبُهُ ٱللَّهُ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَكۡبَرَ ٢٤

Fayu'addhibuhullāhul-'adhābal-akbar

Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa! 24

Maelezo ya chini

24 Basi Mwenyezi Mungu atampa adhabu iliyo kubwa kabisa, isiyo kuwa na ya kuipita.