Surat Al-'Alaq, aya 11

96:11

أَرَءَيۡتَ إِن كَانَ عَلَى ٱلۡهُدَىٰٓ ١١

Ara'ayta in kāna 'alal-hudā

Umeona kama yeye yuko juu ya uwongofu? 11

Maelezo ya chini

11 Hebu niambie khabari za jeuri huyu kama yeye yumo katika uwongofu katika huku kuzuia kwake,