Surat Al-'Alaq, aya 13

96:13

أَرَءَيۡتَ إِن كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰٓ ١٣

Ara'ayta in kaddhaba watawallā

Umeona kama yeye akikanusha na anarudi nyuma? 13

Maelezo ya chini

13 Niambie khabari za huyu mwenye kukataza anapo yakadhibisha aliyo kuja nayo Mtume, na akapuuza Imani na vitendo vyema!