كَلَّا لَئِن لَّمۡ يَنتَهِ لَنَسۡفَعَۢا بِٱلنَّاصِيَةِ ١٥
Kallā la il lam yantahi lanasfa'ā bin-nāsiyah
Kwani! Kama haachi, tutamkokota kwa shungi la nywele! 15
Maelezo ya chini
15 Kwa kumkemea huyu mwenye kuzuia, anaambiwa kama hakuacha hayo anayo yafanya, basi hapana shaka tutamkokota kwa nguvu tukimshika kwa shungi lake la nywele mpaka Motoni!