كَلَّآ إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَيَطۡغَىٰٓ ٦
Kallā innal-insāna layatghā
Kwani! Hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri. 6
Maelezo ya chini
6 Ni hakika kweli mtu hupindukia mpaka na hupanda kiburi mbele ya Mola wake Mlezi