إِنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلرُّجۡعَىٰٓ ٨
Inna ilā rabbikar-ruj'ā
Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo. 8
Maelezo ya chini
8 Ewe Muhammad! Hakika ni kwa Mola wako Mlezi peke yake ndiyo yako marejeo ya wote kwa kufufuliwa na kulipwa.