ٱقۡرَأۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلَّذِي خَلَقَ ١
Iqra' bismi rabbikal-ladhī khalaq
Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba! 1
Maelezo ya chini
1 Ewe Muhammad! Soma unayo funuliwa kwa kufunguliwa kwa Jina la Mola wako Mlezi ambaye ni Yeye tu peke yake ndiye Mwenye uweza wa kuumba.