Surat Al-'Alaq, aya 17

96:17

فَلۡيَدۡعُ نَادِيَهُۥ ١٧

Falyad'u nādiyah

Basi na awaite wenzake! 17

Maelezo ya chini

17 Basi yeye awaite wenziwe na watu wa baraza lake wawe ndio wasaidizi duniani au Akhera.