Surat Al-'Alaq, aya 3

96:3

ٱقۡرَأۡ وَرَبُّكَ ٱلۡأَكۡرَمُ ٣

Iqra' warabbukal-akram

Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote! 3

Maelezo ya chini

3 Endelea na kusoma, na Mola wako Mlezi aliye Karimu kushinda wote, atakutukuza wala hatakudharau.