Surat Al-'Alaq, aya 14

96:14

أَلَمۡ يَعۡلَم بِأَنَّ ٱللَّهَ يَرَىٰ ١٤

Alam ya'lam bi annallāha yarā

Hajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anaona? 14

Maelezo ya chini

14 Hivyo hajui kwamba Mwenyezi Mungu anazijua vyema hali zake, naye atamlipa kwazo?