ٱلَّذِي عَلَّمَ بِٱلۡقَلَمِ ٤
Alladhī 'allama bil-qalam
Ambaye amefundisha kwa kalamu. 4
Maelezo ya chini
4 Yeye ndiye ambaye aliye mfunza mtu kuandika kwa kalamu, na wala kwanza hakuwa anajua hayo.
ٱلَّذِي عَلَّمَ بِٱلۡقَلَمِ ٤
Alladhī 'allama bil-qalam
Ambaye amefundisha kwa kalamu. 4
4 Yeye ndiye ambaye aliye mfunza mtu kuandika kwa kalamu, na wala kwanza hakuwa anajua hayo.