إِذَا زُلۡزِلَتِ ٱلۡأَرۡضُ زِلۡزَالَهَا ١
Idhā zulzilatil-ardu zilzālahā
Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake! 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِذَا زُلۡزِلَتِ ٱلۡأَرۡضُ زِلۡزَالَهَا ١
Idhā zulzilatil-ardu zilzālahā
Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake! 1
وَأَخۡرَجَتِ ٱلۡأَرۡضُ أَثۡقَالَهَا ٢
Wa akhrajatil-ardu athqālahā
Na itakapo toa ardhi mizigo yake! 2
وَقَالَ ٱلۡإِنسَٰنُ مَا لَهَا ٣
Waqālal-insānu mā lahā
Na mtu akasema: Ina nini? 3
يَوۡمَئِذٖ تُحَدِّثُ أَخۡبَارَهَا ٤
Yawma'idhin tuhaddithu akhbārahā
Siku hiyo itahadithia khabari zake. 4
بِأَنَّ رَبَّكَ أَوۡحَىٰ لَهَا ٥
Bi anna rabbaka awhā lahā
Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia! 5
يَوۡمَئِذٖ يَصۡدُرُ ٱلنَّاسُ أَشۡتَاتٗا لِّيُرَوۡاْ أَعۡمَٰلَهُمۡ ٦
Yawma'idhin yasdurun-nāsu ashtātal liyuraw a'mālahum
Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! 6
فَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٍ خَيۡرٗا يَرَهُۥ ٧
Faman ya'mal mithqāla dharratin khayran yarah
Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona! 7
وَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٖ شَرّٗا يَرَهُۥ ٨
Waman ya'mal mithqāla dharratin sharran yarah
Na anaye tenda chembe ya uovu atauona! 8
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Az-Zalzalah ina aya 8. Ni sura namba 99 ya Qur'ani.
Surat Az-Zalzalah ni sura Madaniya.
Surat Az-Zalzalah iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.