وَقَالَ ٱلۡإِنسَٰنُ مَا لَهَا ٣
Waqālal-insānu mā lahā
Na mtu akasema: Ina nini? 3
Maelezo ya chini
3 Na binaadamu akasema kwa kushtuka na khofu: Ardhi hii ina nini hata inatikisika hivi, na inatoa vilivyomo tumboni mwake, ndio Saa imefika?