Surat Az-Zalzalah, aya 2

99:2

وَأَخۡرَجَتِ ٱلۡأَرۡضُ أَثۡقَالَهَا ٢

Wa akhrajatil-ardu athqālahā

Na itakapo toa ardhi mizigo yake! 2

Maelezo ya chini

2 Na ardhi ikatoa yote yaliomo katika ndani ya tumbo lake, ikiwa khazina au maiti walio kwisha zikwa!