Surat Az-Zalzalah, aya 8

99:8

وَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٖ شَرّٗا يَرَهُۥ ٨

Waman ya'mal mithqāla dharratin sharran yarah

Na anaye tenda chembe ya uovu atauona! 8

Maelezo ya chini

8 Na mwenye kufanya shari ya uzito wa chembe ya mchanga ataiona kadhaalika, na atapata malipo yake. Wala Mola wako Mlezi hatamdhulumu yeyote.