Surat Az-Zalzalah, aya 7

99:7

فَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٍ خَيۡرٗا يَرَهُۥ ٧

Faman ya'mal mithqāla dharratin khayran yarah

Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona! 7

Maelezo ya chini

7 Basi mwenye kufanya hata kitu chenye uzito wa punje ya mchanga cha kheri ataiona katika daftari lake, na atapata malipo yake.