بِأَنَّ رَبَّكَ أَوۡحَىٰ لَهَا ٥
Bi anna rabbaka awhā lahā
Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia! 5
Maelezo ya chini
5 Kwani Mlezi wake na Muumba wake atakuwa kaifunulia, kaipa Wahyi, na kaiamuru itetemeke na ijisuke suke, ndio ikafanya upesi kutekeleza amri.