إِذَا زُلۡزِلَتِ ٱلۡأَرۡضُ زِلۡزَالَهَا ١
Idhā zulzilatil-ardu zilzālahā
Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake! 1
Maelezo ya chini
1 Ikitisika ardhi kwa mtikiso mkubwa, na ikasukika kwa ukomo wa kutisika na kusukika kunako mkinika na ikaweza kuchukua!