يَوۡمَئِذٖ يَصۡدُرُ ٱلنَّاسُ أَشۡتَاتٗا لِّيُرَوۡاْ أَعۡمَٰلَهُمۡ ٦
Yawma'idhin yasdurun-nāsu ashtātal liyuraw a'mālahum
Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! 6
Maelezo ya chini
6 Siku hiyo watu watatoka makaburini mbio, nao wamo katika mtafaruku, wapate kuziona hisabu zao na malipo yao aliyo waahidi Mwenyezi Mungu.