قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ ١
Qul a'ūdhu birabbin-nās
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ ١
Qul a'ūdhu birabbin-nās
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, 1
مَلِكِ ٱلنَّاسِ ٢
Malikin-nās
Mfalme wa wanaadamu, 2
إِلَٰهِ ٱلنَّاسِ ٣
Ilāhin-nās
Mungu wa wanaadamu, 3
مِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ ٤
Min sharril-waswāsil-khannās
Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, 4
ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ ٥
Alladhī yuwaswisu fī sudūrin-nās
Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, 5
مِنَ ٱلۡجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ ٦
Minal-jinnati wan-nās
Kutokana na majini na wanaadamu. 6
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat An-Nas ina aya 6. Ni sura namba 114 ya Qur'ani.
Surat An-Nas ni sura Makkiya.
Surat An-Nas iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.