ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ ٥
Alladhī yuwaswisu fī sudūrin-nās
Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, 5
Maelezo ya chini
5 Ambaye hutia kwa kificho katika vifua vya watu ya kuwaachisha wasende kwenye njia ya uwongofu.