Surat Al-Falaq الفلق

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ ١

Qul a'ūdhu birabbil-falaq

Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, 1

مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ٢

Min sharri mā khalaq

Na shari ya alivyo viumba, 2

وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ٣

Wamin sharri ghāsiqin idhā waqab

Na shari ya giza la usiku liingiapo, 3

وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِي ٱلۡعُقَدِ ٤

Wamin sharrin-naffāthāti fil-'uqad

Na shari ya wanao pulizia mafundoni, 4

وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ٥

Wamin sharri hāsidin idhā hasad

Na shari ya hasidi anapo husudu. 5

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat Al-Falaq ina aya ngapi?

Surat Al-Falaq ina aya 5. Ni sura namba 113 ya Qur'ani.

Je, Surat Al-Falaq ni Makkiya au Madaniya?

Surat Al-Falaq ni sura Makkiya.

Surat Al-Falaq iko katika juzuu gani?

Surat Al-Falaq iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Al-Falaq?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.