Surat Al-Fatihah الفاتحة

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

1:1

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ١

Bismillāhir-rahmānir-rahīm

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU . 1

1:2

ٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٢

Al-hamdu lillāhi rabbil-'ālamīn

Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; 2

1:3

ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ٣

Ar-rahmānir-rahīm

Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; 3

1:4

مَٰلِكِ يَوۡمِ ٱلدِّينِ ٤

Māliki yawmid-dīn

Mwenye kumiliki siku ya malipo. 4

1:5

إِيَّاكَ نَعۡبُدُ وَإِيَّاكَ نَسۡتَعِينُ ٥

Iyyāka na'budu wa iyyāka nasta'īn

Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. 5

1:6

ٱهۡدِنَا ٱلصِّرَٰطَ ٱلۡمُسۡتَقِيمَ ٦

Ihdinas-sirātal-mustaqīm

Tuongoe njia iliyonyooka. 6

1:7

صِرَٰطَ ٱلَّذِينَ أَنۡعَمۡتَ عَلَيۡهِمۡ غَيۡرِ ٱلۡمَغۡضُوبِ عَلَيۡهِمۡ وَلَا ٱلضَّآلِّينَ ٧

Sirātal-ladhīna an'amta 'alayhim ghayril-maghdūbi 'alayhim walad-dāllīn

Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea. 7

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat Al-Fatihah ina aya ngapi?

Surat Al-Fatihah ina aya 7. Ni sura namba 1 ya Qur'ani.

Je, Surat Al-Fatihah ni Makkiya au Madaniya?

Surat Al-Fatihah ni sura Makkiya.

Surat Al-Fatihah iko katika juzuu gani?

Surat Al-Fatihah iko katika juzuu 1.

Je, naweza kusikiliza Surat Al-Fatihah?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.