Surat Al-Fatihah, aya 6

1:6

ٱهۡدِنَا ٱلصِّرَٰطَ ٱلۡمُسۡتَقِيمَ ٦

Ihdinas-sirātal-mustaqīm

Tuongoe njia iliyonyooka. 6

Maelezo ya chini

6 Tunakuomba utuwafikishe kuendea Njia ya haki, na kheri na mafanikio.