مَٰلِكِ يَوۡمِ ٱلدِّينِ ٤
Māliki yawmid-dīn
Mwenye kumiliki siku ya malipo. 4
Maelezo ya chini
4 Na Yeye peke yake ndiye Mwenye kumiliki Siku ya Malipo na Hisabu, yaani Siku ya Kiyama, anafanya atakavyo wala hapana mwenye kushirikiana naye walau kwa kuonekana tu.