Surat Al-Fatihah, aya 3

1:3

ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ٣

Ar-rahmānir-rahīm

Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; 3

Maelezo ya chini

3 Na Yeye ndiye Mwenye rehema ya kudumu, na rehema inatokana naye. Ananeemesha kwa neema zote ndogo na kubwa. (Arrahman ni jina lake Mwenyezi Mungu tu, na hafai mtu kuitwa hivyo.)